Skip to main content
Skip to main content

Ruto amshutumu Uhuru kwa kuwatumia viongozi kuhujumu miradi

  • | Citizen TV
    7,623 views
    Duration: 3:11
    Rais William Ruto ameendeleza shutuma zake dhidi ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, akidai kuwa anawatuma viongozi wa upinzani kuhujumu miradi ya maendeleo ya serikali. Akizungumza katika Kaunti ya Migori, Ruto aliwataka Wakenya kupuuza kile alichokitaja kuwa ni hadaa za upinzani, akisema viongozi hao hawana mpango wala tajriba ya kuendeleza taifa kwa manufaa ya vizazi vijavyo.