- 5,683 viewsDuration: 3:12Rais William Ruto sasa anasema hatamruhusu aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua kuwachochea Wakenya kuvuruga uchaguzi mkuu ujao, akiwataka Wakenya kujitenga na siasa za ukabila. Rais Ruto aliyeendeleza mashambulizi yake makali dhidi ya Gachagua pia amemlaumu kwa kile anasema ni kuwakandamiza wanasiasa wachanga. Chrispine Otieno na mengi zaidi.