- 14,971 viewsDuration: 3:34Rais William Ruto amesema kuwa huenda Vita vya Marekani na Israel Dhidi ya Iran ukawa na athari za kiuchumi nchini kufuatia kufungwa kwa mlango wa barari wa Hormuz unaotumiwa na meli za kusafirisha bidhaa. Hata hivyo , rais anasema kuwa serikali inaweka mikakati ya kudhibiti hatari hiyo na kuonya kampuni za kuuza mafuta dhidi ya kusababisha uhaba wa mafuta nchini. Rais amesemaserikali haitawakubalia wafanyibiashara kushinikiza ongezeko la bidhaa hiyo na kuwa serikali inawafuatilia kwa karibu kuhakikisha hawafichi mafuta.