- 482 viewsDuration: 1:25Rais william ruto amesisitiza kuwa serikali yake imedhibiti hali ya uchumi nchini kinyume na hali ilivyo kuwa hapo awali.Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya kilimo kaunti ya mombasa, rais ruto ameshikilia kwamba sekta mbali mbali hasa ya kilimo zimeendelea kunawiri na kuleta afueni kwa maisha ya wakenya wa kawaida. Aidha rais amesema kuwa miradi ya galana kulalu, na ile ya tana na bura zitapiga jeki zaidi uzalishaji wa vyakula nchini.