- 880 viewsDuration: 3:00Rais William Ruto amewasuta wanasiasa anaosema wanaeneza picha mbaya kuhusu Kenya wakidai kwamba ni taifa Ambalo limekumbwa na Masaibu Mengi huku akiwakashifu kwa kufumbia macho maendeleo ambayo serikali yake inaendelea kufanya. Akizungumza Katika Kongamano la 19 la Mabalozi wa Kenya,Rais Ruto amewataka Mabalozi kuwa mstari wa mbele kuitetea serikali na kuuza jina nzuri la Kenya Kimataifa