- 3,465 viewsDuration: 2:27Rais William Ruto ameanza ziara ya siku nne ya eneo la Gusii ambako ameendelea kunadi sera zake akilaumu upinzani kwa kukosa ajenda za maendeleo. Rais aliyezindua miradi ya mabilioni kaunti ya Nyamira hii leo pia amesema ana imani upinzani hautashikana pamoja kufikia uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka ujao. Chrispine Otieno na mengi zaidi.