Skip to main content
Skip to main content

Ruto: Hakuna kijana atakayebaguliwa katika mpango wa NYOTA

  • | KBC Video
    289 views
    Duration: 3:09
    Rais William Ruto amesema hakuna kijana atakayebaguliwa katika utoaji wa fedha za mradi wa NYOTA. Rais aliyezungumza huko Malindi wakati wa usambazaji wa shilingi Milioni 126 kwa vijana kutoka kaunti za Kilifi, Lamu na Tana River, alisema mpango huo unapiga jeki mipango mingine muhimu ikiwa ni pamoja na mradi wa nyumba za gharama nafuu, Kazi Majuu, miongoni mwa miradi mingine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive