- 203 viewsDuration: 2:53Serikali itapunguza ada inayolipwa ili kupata kitambulisho cha kitaifa pindi kikipotea ili kuhakikisha hakuna mkenya yeyote ananyimwa nafasi ya kujisajili kama mpiga kura. Haya yalitangazwa na rais William ruto wakati wa kuadhimisha miaka 100 ya kanisa la Pentekoste nchini katika kijiji cha Nyang’ori kilichoko kaunti ya Vihiga. Rais Ruto alisema ada hiyo ilianzishwa ili kutokomeza tabia ya wakenya waliokuwa wamepokea vitambulisho bila malipo kuvipoteza ovyo na kuhitaji vingine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive