- 8,438 viewsDuration: 3:58Rais William Ruto amesema kwamba chama tawala cha UDA kimefurahishwa na idadi kubwa ya wawaniaji walioonesha ari ya kuwania nyadhifa mbalimbali kwa kutumia tiketi ya chama hicho, huku taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Akizungumza alipokutana na viongozi kutoka eneo la Mashariki ya Mlima Kenya, kiongozi wa taifa alisema kwamba atakutana na wagombezi 12,235 kesho kwenye ikulu ya Nairobi, idadi ambayo amesema hawakuweza kufikia wakati wa enzi ya chama cha Jubilee. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive