Skip to main content
Skip to main content

Rwanda Wakosoaji wa serikali ya Rwanda ambao vifo vyao vimezua maswali

  • | BBC Swahili
    9,341 views
    Duration: 5:41
    Vifo na kutoweka kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali ya Rwanda, wakiwemo walioishi uhamishoni, kumezua maswali kuhusu usalama wao na mazingira ya matukio hayo. Kutoka kwa mwanamuziki Kizito Mihigo hadi aliyekuwa mkuu wa ujasusi Patrick Karegeya, visa hivi vimevutia uangalizi wa kimataifa na kusababisha wito wa uchunguzi zaidi. Serikali ya Rwanda imekanusha kuhusika na vifo hivyo. Kwa nini visa hivi vinaendelea kuzua maswali? Leillah Mohammed anaelezea #bbcswahili #rwanda #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw