Samburu imefufua huduma za matibabu katika hospitali ndogo ya Wamba

  • | Citizen TV
    293 views

    Serikali ya Kaunti ya Samburu imefufua huduma za matibabu, katika hospitali ndogo ya Wamba Samburu Mashariki. Hii ni baada ya kufungwa Kwa hospitali ya kimisheni iliyotegemewa eneo hilo kwa zaidi ya miongo mitatu. Wakazi wanasema wamepitia changamoto si haba kutafuta matibabu tangu kufungwa kwa hospitali hiyo