- 16,575 viewsDuration: 1:12Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wanaharakati wakati akishuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT- Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar ikiwa ni mchakato wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw