Skip to main content
Skip to main content

Sekta ya chai yapata hasara kubwa kufuatia mzozo wa kivita duniani

  • | Citizen TV
    1,376 views
    Duration: 2:52
    Sekta ya majani chai inakadiriwa hasara ya shilingi bilioni 3.1 kutokana na makabiliano ya kivita kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Zaidi ya kilo milioni 8 zimekwama bandarini na kwenye maghala ya kuhifadhi majani chai baada ya meli zilizoratibiwa kutia nanga bandarini kukatiza safari zao. Chama cha wanaouza majani chai Afrika Mashariki kinahofia kupoteza asilimia 65 ya soko la majani chai nchini endapo taifa la Pakistan litaathirika na makabiliano hayo