- 683 viewsDuration: 7:38Sekta ya usafiri mjini Kisii inaendelea kuathirika kufuatia uhaba wa mafuta unaozidi kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini. Madereva wa magari pamoja na wenzao wa pikipiki wakiendelea kuweka foleni katika vituo chache vilivyo na bidhaa hiyo.