Skip to main content
Skip to main content

Sekta ya uchukuzi yaathirika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    397 views
    Duration: 1:59
    Waendeshaji magari na piki piki mjini Kisii wanaendelea kulalamikia ukosefu wa mafuta katika vituo mbalimbali jambo ambalo limezidi kuathiri sekta ya usafiri katika mji huo na viunga vyake.