7 Sep 2025 8:01 pm | Citizen TV 275 views Duration: 1:18 Michael Selelo kutoka Narok alinyakua ushindi katika mbio za milimani za kilomita 14 za chuo kikuu cha Meru alipomaliza mbio hizo katika muda wa dakika 48:43:10 huko marimba kaunti ya Meru.