- 211 viewsDuration: 1:32Seneta Maalum wa kaunti ya Mombasa, Miraj Abdallah, ameitaka serikali ya kitaifa kuingilia kati na kukarabati viwanja vya michezo, ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa maeneo ya kufanyia mazoezi na kukuza vipaji miongoni mwa vijana wa kaunti hiyo.