15 Apr 2026 10:34 am | Citizen TV 535 views Duration: 1:03 Seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot anaitaka Serikali Kukabidhi mamlaka za Kaunti usimamizi wa Mashamba ya Chai ya kampuni za Kimataifa.