Seneta wa Nyamira Okong'o omogeni aikosoa serikali

  • | Citizen TV
    253 views

    Seneta wa Nyamira Eric Okong'o Omogeni ameishtumu serikali ya Kenya Kwanza kwa gharama ya juu ya masomo nchini, hali anayosema inatishia ndoto za watoto wengi kutoka familia maskini nchini