Marekebisho ya Sera ya Kitaifa ya Mazingira ya mwaka 2013 yanaendelea, yakilenga kwa kiasi kikubwa uundwaji wa ajira zinazozingatia mazingira, urejeshaji wa mifumo ikolojia, upunguzaji wa majanga, ujumuishaji wa elimu ya mazingira na kuimarisha ustahimilivu wa mabadiliko ya tabianchi katika ngazi zote.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive