- 343 viewsDuration: 1:11Serikali imetangaza kuanza mchakato wa kutafuta masoko mbadala ya chai katika mataifa mengine baada ya kukwama kwa biashara nchini Iran kutokana na vita. Hatua hii inalenga kumlinda mkulima wa chai nchini dhidi ya hasara inayoweza kusababishwa na kupungua kwa mauzo ya nje.