Skip to main content
Skip to main content

Serikali inalenga kutoa shilingi Bilioni 21 kufathili ujenzi wa nyumba za bei nafuu Kilifi

  • | Citizen TV
    327 views
    Duration: 1:48
    Serikali inalenga kutumia takriban shilingi Bilioni 21 katika mradi wa ujenzi wa nyumba za Bei nafuu kaunti ya Kilifi. Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa vyumba 340 katika chuo Cha kiufundi Cha Weru, kaunti ndogo ya Malindi, mkurugenzi wa idara ya nyumba kaunti hiyo Moses Kiptui amesema kaunti hiyo itanufaika na miradi 11 ya nyumba zaidi ya elfu 8.Kiptui ameongeza kuwa jumla ya vyuo 8 vitanufaika kaunti hiyo ikiwemo kile Cha Pwani huku zaidi ya wanafunzi elfu 4 wakilengwa kwenye mpango huo.