26 Jun 2026 7:50 pm | KBC Video 39 views Duration: 1:58 UWEZESHAJI VIJANA Serikali inaweka vifaa kwenye vituo 45 vya uwezeshaji vijana Vituo vilijengwa lakini havijaanza kutumika Fikirini:Idara imepokea ufadhili wa kujenga vituo 134