Serikali kuhakikisha huduma za uhamiaji zinaboreshwa na kupatikana kote nchini

  • | KBC Video
    7 views

    Serikali iko kwenye harakati za kuhakikisha huduma za uhamiaji zinaboreshwa na kupatikana kote nchini. Katibu katika idara ya Uhamiaji na Huduma kwa wananchi, Julius Bitok, amesema afisi ya uhamiaji itafunguliwa huko Kericho ili kuhudumia wakazi wa eneo la South Rift. Habari zaidi ni kwenye mseto wa taarifa za magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News