Skip to main content
Skip to main content

Serikali kupatia kipaumbele miradi inayoendelea

  • | KBC Video
    46 views
    Duration: 1:04
    Serikali haitazindua miradi mipya mikubwa huku ikinuia kukamilisha ile iliyoko kwa sasa. Waziri wa fedha John Mbadi amesema hazina ya kitaifa imekumbatia bajeti ambayo inazingatia maslahi ya wananchi kwa kutotoza ushuru wa kiwango cha juu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive