- 244 viewsDuration: 2:37Serikali imesema inakabiliana na changamoto za ukosefu wa ajira humu nchini kwa kutafuta nafasi za ajira Ughaibuni kwa maelfu ya vijana. Katibu anayehusika na masuala ya ughaibuni Roseline Njogu, amesema Kenya inalenga kuziba pengo la ujuzi na kukidhi mahitaji ya soko la ajira nje ya nchi kwa kuwahimiza vijana kuchangamkia fursa hizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive