Skip to main content
Skip to main content

Serikali kutekeleza pendekezo la kuondoa ushuru kwa watu wanaolipwa mshahara chini ya Kshs 30,000

  • | KBC Video
    255 views
    Duration: 1:58
    MAKADIRIO YA SERIKALI Waziri wa fedha John Mbadi amesema serikali itaanza kutekeleza pendekezo la kuondoa ushuru wa mapato kwa watu wanaolipwa mshahara wa chini ya shilingi elfu 30,000 kwa mwezi. Mbadi anasema ushuru huo utapunguzwa kutoka aslimia 30 hadi asilimia 25 kwa wale wanaolipwa mshahara wa kati ya shilingi 30,001 na shilingi 50,000. Pendekezo hilo litawasilishwa bungeni ili kuidhinishwa katika siku zijazo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive