- 118 viewsDuration: 3:10Ukosefu wa huduma muhimu kwa urahisi umeendelea kuwa changamoto kwa wakazi wa Tuala, eneo bunge la Kajiado mashariki, hali iliyowasukuma washikadau mbalimbali kuwaletea huduma hizo karibu na wananchi kupitia mpango wa huduma Mashinani.