Serikali ya kaunti na Kenya pipeline wazindua zahanati

  • | Citizen TV
    370 views

    Serikali ya kaunti ya Laikipia pamoja kwa ushirikiano na kampuni ya Kenya pipeline wamezinduwa zahanati mpya eneo la Maili Nane Laikipia East