- 179 viewsDuration: 1:23Wafugaji katika Kaunti Ya Elgeyo Marakwet wametakiwa kuchanja mifugo wao dhidi ya ugonjwa wa mdomo na miguu pamoja na ugonjwa wa homa ya kichochi ya mbuzi na kondoo Ili kuepuka hasara zinazotokana na milipuko Ya magonjwa Hayo.