14 May 2026 3:01 pm | Citizen TV 105 views Duration: 1:37 Wanafunzi 12,000 wa shule za sekondari na vyuo vikuu kutoka kaunti ya Kajiado wapata afueni ya karo baada ya wizara ya elimu ya kaunti hiyo kutoa shilingi million 50M kugharamia karo ya muhula wa pili ya wanafunzi hao.