1 Dec 2025 1:22 pm | Citizen TV 944 views Duration: 1:45 Kaunti ya Kisii imetia saini mkataba na Chuo Kikuu cha Jianghan kutoka nchini China ili kutoa nafasi za masomo ya juu kwa wanafunzi bora kutoka kaunti ya Kisii.