Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Nairobi yabomoa majengo kando ya mto Nairobi

  • | Citizen TV
    25,644 views
    Duration: 6:17
    Serikali ya kaunti ya Nairobi inaendelea kubomoa majumba yaliyojengwa kando ya mto Nairobi ili kuyaondoa kwenye mikondo ya mafuriko ambayo yamehangaisha wakazi wa jiji.. Maafisa wa kaunti walibomoa majengo mengi yaliyojengwa karibu na mto huo katika soko la Gikomba usiku wa kuamkia leo licha ya wafanyabiashara wengi kupinga hatua hiyo.