2 Dec 2025 10:58 am | Citizen TV 84 views Serikali ya kaunti ya Nandi imewahimiza kina mama wajawazito wawe wakienda hospitalini kufanyiwa vipimo mapema, kama njia moja ya kuwalinda watoto wachanga dhidi ya virus vya ukimwi.