- 166 viewsDuration: 2:43Serikali ya kaunti kwa ushirikiano na wawekezaji imezindua kituo kinaichoiga muundo wa manyatta cha kuwashughulikia akina mama wajawazito ili kuhakikisha usalama wao kabla na baada ya kujifungua. Kituo hiki aidha kinatarajiwa kuhamasisha jamii nafasi ya wahudumu wa afya katika maeneo hayo. Hildah Kiptoo na maelezo zaidi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya