Serikali ya Kenya Kwanza yalaumiwa kwa kutowajibika

  • | K24 Video
    96 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga pamoja na viongozi wa chama cha ODM, wamekamilisha ziara ya siku tatu katika eneo la Pwani, kwa lengo ya kukutana na wanachama pamoja na usajili wa wanachama wapya. Hii leo, Raila amekashifu visa vya dhuluma dhidi ya wanawake ambavyo vimeshuhudiwa siku za hivi majuzi, na kusababisha vifo kadhaa vya wanawake.