17 Apr 2026 1:35 pm | Citizen TV 979 views Duration: 3:05 Serikali ya kitaifa imetenga zaidi ya shilling million 800 ili kuunganisha umeme katika maeneo mbalimbali ya kaunti ya Lamu.