9 Dec 2025 10:40 am | Citizen TV 236 views Duration: 1:50 Serikali ya kitaifa inasema imetoa shilingi bilioni moja za kusambaza umeme maeneo ya mashinani katika kaunti ya Busia.