- 8,488 viewsDuration: 2:32Wanasiasa wa Kundi la ODM la Linda Mwananchi wameendelea kushutumu kaunti ya Nairobi kwa utendakazi wake katika kudhibiti mafuriko yaliyosababisha vifo vya watu 26 jijini pekee. Wakiongozwa na katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna, wanasiasa hawa pia wametaka viongozi wenza wa ODM kuheshimu kukamilika kwa mkataba uliotiwa saini kati ya Rais William Ruto na marehemu Raila Odinga,