Serikali yaagiza walinzi wa vilabu, wa mlangoni na wa watu mashuhuri kupata mafunzo ya ki-usalama

  • | KBC Video
    72 views

    Serikali imewapa walinzi wa vilabu, wasimamizi wa warsha, walinzi wa mlangoni, walinzi wa watu mashuhuri na wale wanaodhibiti umati wa watu muda wa wiki tatu kupata mafunzo ya ki-usalama katika taasisi zilizoidhinishwa. Halmashauri ya kudhibiti sekta ya mabawabu humu nchini imesema mtu yeyote atakayepatikana akitoa huduma za ulinzi bila cheti halali cha mafunzo au cha usajili na bila leseni halisi atatozwa faini au kuhukumiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive