- 181 viewsDuration: 3:05Naibu rais Kithure Kindiki amesema serikali imeanzisha kundi la taaasisi mbalimbali za serikali ili kukabiliana na athari za mvua ya El Nino inayotarajiwa kati ya mwezi Oktoba na Desemba huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwanzoni mwa 2027. Akizungumza wakati wa mkutano wa 15 wa ushirikiano wa kimaendeleo huko Karen jijini Nairobi, Kindiki alisema serikali imeweka mikakati mwafaka ya kuzuia maafa na uharibifu wa mali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive