Serikali yaanzisha mpango mwafaka wa kuimarisha uchumi wa kidijitali wa nchi

  • | KBC Video
    12 views

    Serikali imeanzisha mpango mwafaka wa kuimarisha uchumi wa kidijitali wa nchi hii kupitia kwa uwekezaji mkubwa katika miundo msingi na kubuni sera zifaazo. Katibu katika wizara ya habari, mawasiliano, teknolojia na uchumi wa dijitali mhandisi John Tanui anasema mfumo wa dijitali utaimarisha uchumi wa nchi hii, kubuni nafasi za ajira na kuwezesha kushirikishwa kwa wote katika masuala ya kifedha na ukuzaji uchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News