Serikali bado haijatoa mwongozo rasmi wa ada kwa kozi mbalimbali huku Maelfu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanamiminika katika vyuo vikuu vya umma kote nchini, wakianza safari yao ya muda mrefu ya elimu ya juu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya