Skip to main content
Skip to main content

Serikali yafunga KIM, TVETA yakitaja ukiukaji wa kanuni na kubatilisha vyeti vya wanafunzi

  • | Citizen TV
    2,773 views
    Duration: 2:56
    Serikali imeagiza kufungwa na kubatilisha vyeti vya masomo vya maelfu ya wanafunzi wa taasisi ya KIM kote nchini. Agizo hili lililotolewa na taasisi ya vyuo vya kiufundi la likiwaathiri wanafunzi wote waliosomea chuo hicho tangu mwaka wa 2018, na ambao sasa vyeti vyao havitambuliki. serikali imelaumu taasisi hii kwa kuendesha masomo yasiyostahiki na hata kuwaajiri wakufunzi wasiohitimu.