Skip to main content
Skip to main content

Serikali yafunga ushahidi wake dhidi ya Tundu Lissu

  • | BBC Swahili
    2,762 views
    Duration: 30s
    “Suala la kufunga kesi kwa upande wa mashtaka sina shida nalo nilisema tangu wiki iliyopita washakata pumzi" Serikali ya Tanzania imefunga Ushahidi wake kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu . Kupitia wakili wa serikali Nassoro Katuga taarifa ya maombi ya kuufunga ushahidi huo iliwasilishwa mahakamani. Serikali imesema kwamba mashahidi ambao mpaka sasa wametoa ushahidi kwa upande wao wanatosha. Tembelea tovuti ya BBCSwahili kufahamu hatua inayofuata baada ya hapo #bbcswahili #tundulissu #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw