Serikali yahakikishia wazazi maandalizi thabiti ya mpito wa wanafunzi wa Gredi ya 9

  • | NTV Video
    54 views

    Serikali imetoa hakikisho kwa wazazi na wadau wa sekta ya elimu kuwa maandalizi ya mpito wa wanafunzi wa gredi ya 9 hadi shule za sekondari yapo imara huku ikiwataka walimu kusaidia wanafunzi kuchagua karia (career)zitakazooana na dhamira yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya