Serikali na taasisi binafsi zimehimizwa kuharakisha uajiri wa wataalamu wa kushughulikia maswala ya wafanyikazi walioidhinishwa kutoka kwa mpango wa utambuzi wa mafunzo ya awali. Wakati wa kutolewa kwa matokeo ya kundi 25 la kwanza la mpango huo wa kutambua ujuzi wa awali, Bodi ya mitihani ya wataalamu wa usimamizi wa wataalamu wa kushughulikia maslahi ya wafanyikazi ilisema utambuzi wa kujifunza kwa awali sio njia ya mkato ya kuhitimu kitaaluma kwa vile watahiniwa hufanyiwa tathmini zilizopangwa, zinazotegemea uwezo na wanatakiwa kuonyesha kwamba wanakidhi viwango vya kitaaluma vinavyotarajiwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive