Serikali yaibua wasiwasi wa kutokea tena kwa nzige katika baadhi ya maeneo nchini

  • | K24 Video
    31 views

    Serikali imeibua wasiwasi wa kutokea tena kwa nzige katika baadhi ya maeneo nchini zikiwemo kaunti za Garissa na Marsabit na hivyo uzalishaji wa chakula huenda ukaathirika nchini. Msemaji wa serikali Isaac Mwaura pia amesema kufikia sasa ekari 867,000 za kilimo zimeharibiwa na mafuriko. Taswira hiyo inaibua hofu ya taifa kukumbwa na uhaba wa chakula.