Serikali yajenga eneo la viwanda Sagana katika kaunti ya Kirinyaga

  • | Citizen TV
    115 views

    Mradi wa ujenzi wa viwanda kaunti ya Kirinyaga umepata kibali cha mashirika mengi kuwekeza katika mradi huo eneo la Sagana.