Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaomba msaada wa Sh bilioni 13 kukabili baa la njaa

  • | Citizen TV
    307 views
    Duration: 2:48
    Serikali sasa inaomba msaada wa kifedha na kibinadamu kutoka kwa kampuni binafsi na mashirika ya kibinadamu kusaidia zaidi ya wakenya milioni mbili wanaokumbwa na hatari ya baa la njaa. Kaunti 32 zimetajwa kuwa kwenye hatari huku kumi zikiwa kwenye hali mbaya zaidi. Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki alitoa wito wa msaada huu wa shilingi bilioni 13 wakati wa mkutano na wawakilishi wa mashirika ya kimaendeleo na sekta binafsi